Kiawera

Kiawera ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waawera. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiawera imehesabiwa kuwa watu 70, na wasemaji wameanza kuacha lugha yao. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiawera iko katika kundi la “Lakes Plain”.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search